Episodes
Israeli imeishambulia Iran - Maafisa wa Marekani
Published 04/19/24
Uhaba mkubwa wa petroli washuhudiwa visiwani Zanzibar
Published 04/18/24
Watalaam wa hali ya hewa watoa asababu ya mvua kubwa Tanzania
Published 04/17/24
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Published 04/16/24
Trump anaelekea mahakamani akiwa rais wa kwanza aliyetoka madarakani kukabiliwa na mashtaka ya jinai
Published 04/15/24
Nyota wa zamani wa Ligi ya Mpira wa Marekani NFL na mcheza filamu ambaye alifutiwa mashtaka ya mauaji ya mkewe na rafiki yake wa kiume katika kesi iliyoteka Marekani na dunia amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76.
Published 04/12/24
Mashirika 160 yamwandikia Biden kutaka DRC ijumuishwe kwenye mpango wa hadhi maalum kwa sababu za ukosefu wa usalama
Published 04/11/24
Kikosi cha Kichina cha Monusco chaondoka DRC baada ya maika 21
Published 04/10/24
Kauli ya Netanyahu kuhusu operesheni ya Rafah imeibua mashaka kwa waptanishi mjini Cairo huku Marekani ikimkemea na kusema haiungi mkono msimo wake.
Published 04/09/24
Baadhi ya viongozi wa nchi na serikali waliohudhuria kumbukumbu ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi wa Rwanda miaka 30 iliyopita wamesema hadi sasa, licha ya kubainika kuwa ulimwengu ulishindwa kuzuia mauaji hayo, bado dunia haijajifunza kutokana na kilichotokea wakati huo.
Published 04/08/24
Jumuiya ya SADC yasikitishwa na hatua ya Rwanda kupinga ufadhili wa ujumbe wa kulinda amani DRC
Published 03/29/24
Mili ya watu wawili yaopolewa karibu na daraja lililobomolewa na meli Baltimore
Published 03/28/24
Gavana wa Jimbo la Maryland, Wes Moore, ameweka wazi kuwa hapakuwa na kitendo chochote cha kigaidi baada ya daraja kuu katika mji wa Baltimore kubomoka Jumanne asubuhi wakati meli iliyobeba mizigo kugonga nguzo yake.
Published 03/27/24
Mgombea urais kwa tikiti ya upinzani wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, mgeni kisiasa, lakini ambaye ni maarufu miongoni mwa vijana wasioridhishwa na utawala uliopo, aliahidi Jumatatu kutawala kwa unyenyekevu na uwazi, wakati akisubiri kutangazwa kuwa rais ajaye.
Published 03/26/24
Hesabu za kwanza katika vituo vya kupigia kura katika uchaguzi wa rais uliocheleweshwa nchini Senegal Jumapili zinaonyesha mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye akiongoza. Wafuasi wake walianza kusherekea mitaani baada ya siku ya amani ya uchaguzi ambayo wengi wanatumaini utaleta mabadiliko.
Published 03/25/24