Wakimbizi wa Ukraine waomba kupewa ajira Ulaya. - Septemba 26, 2022
Listen now
Description
Wengi wao hata hivyo wanasema kwamba wanahitaji kuwezeshwa katika kujifunza lugha za wenyeji , pamoja na kusaidiwa kwenye program kama za uangalizi wa watoto, wakati wakitafuta ajira.
More Episodes
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres amesifu hatua ya kusitisha vita katika eneo la Tigray nchini Ethiopia, wakati wa ziara yake ya kwanza tangu vita kati ya wanajeshi na wapiganaji wa Tigray vilipoanza miaka miwili iliyopita.
Published 12/02/22
Waathiriwa wa ukatili wa kundi la waasi la Lord's Resistance Army, LRA, nchini Uganda, wamekuwa na maoni mseto, kuhusu mipango ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuanzisha kesi dhidi ya kiongozi mtoro wa kundi hilo, Joseph Kony, bila kuwepo mahakamani.
Published 12/01/22
Timu ya taifa ya Senegal Simba wa Teranga imekuwa ya kwanza ya Afrika kufanikiwa kuingia kwenye raundi ya 16 katika michuano ya mwaka huu baada ya kuifunga Ecuador bao 2-1.
Published 11/30/22