Uchunguzi waanza baada ya ajali ya ndege kuua 6 Dallas, Texas - Novemba 14, 2022
Listen now
Description
Maafisa wa idara ya Marekani ya usafirishaji wapo jijini Dallas, Texas, kuchunguza sababu za ajali ya ndege mbili zilizo gongana hewani wakati wa maonyesho ya ndege na kuua watu sita baada ya ndege za kivita za wakati wa vita vya pili vya dunia ziligongana na kuanguka.
More Episodes
Hoja za ufunguzi zatarajiwa kusikilizwa katika kesi inayomkabili Donald Trump New York
Published 04/22/24
Israeli imeishambulia Iran - Maafisa wa Marekani
Published 04/19/24
Uhaba mkubwa wa petroli washuhudiwa visiwani Zanzibar
Published 04/18/24