Kenyatta aeleza masikitiko kuona maelfu ya watu waliofurushwa makwao DRC - Novemba 17, 2022
Listen now
Description
Rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta Jumatano alitoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuingilia kati kwa haraka, na kutanzua mzozo unaoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambako mapigano kati ya jeshi na waasi wa M23 yamepamba moto tena.
More Episodes
Ripoti ya kila mwaka ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, inaonyesha hali bado ni mbaya nchini Zimbabwe, DRC na Ethiopia, licha ya kuisifu Zimbabwe kwa kutekeleza sheria kulinda watoto dhidi ya mimba za mapema.
Published 04/25/24
Benki ya Dunia yasitisha ufadhili wa mradi wa utalii na uhifadhi nchini Tanzania
Published 04/24/24
Historia iliaandikwa jana Jumatatu pale, rais wa zamani wa Marekani, alijipata kizimbani, kwenye mahakama moja mjini New York, na kupinga vikali mashtaka ya kashfa ya kuzuia taarifa kuhusu maisha yake ya kibinafsi, kuwekwa wazi, ili zisiathiri vibaya nafasi yake ya kushinda uchaguzi wa rais.
Published 04/23/24