Historia yawekwa baada ya Qatar kushindwa kwenye mechi ya ufunguzi wa Kombe la Dunia - Novemba 21, 2022
Listen now
Description
Ecuador waliwashinda Qatar kwa mchuano wa kwanza kombe la dunia 2022, kwa mabao mawili kwa sufuri Jumapili, ambayo yalipachikwa na mshambuliaji mkongwe Enner Valencia, katika siku ambayo hafla ya ufunguzi rasmi wa mashindano hayo ya mwezi mmoja ilifanyika.
More Episodes
Benki ya Dunia yasitisha ufadhili wa mradi wa utalii na uhifadhi nchini Tanzania
Published 04/24/24
Historia iliaandikwa jana Jumatatu pale, rais wa zamani wa Marekani, alijipata kizimbani, kwenye mahakama moja mjini New York, na kupinga vikali mashtaka ya kashfa ya kuzuia taarifa kuhusu maisha yake ya kibinafsi, kuwekwa wazi, ili zisiathiri vibaya nafasi yake ya kushinda uchaguzi wa rais.
Published 04/23/24
Hoja za ufunguzi zatarajiwa kusikilizwa katika kesi inayomkabili Donald Trump New York
Published 04/22/24