Alfajiri: Mjadala mkali unaendelea kenya kuhusu hatua ya serikali kuruhusu uagizaji wa mahindi ya GMO - Novemba 22, 2022
Listen now
Description
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
More Episodes
Benki ya Dunia yasitisha ufadhili wa mradi wa utalii na uhifadhi nchini Tanzania
Published 04/24/24
Historia iliaandikwa jana Jumatatu pale, rais wa zamani wa Marekani, alijipata kizimbani, kwenye mahakama moja mjini New York, na kupinga vikali mashtaka ya kashfa ya kuzuia taarifa kuhusu maisha yake ya kibinafsi, kuwekwa wazi, ili zisiathiri vibaya nafasi yake ya kushinda uchaguzi wa rais.
Published 04/23/24
Hoja za ufunguzi zatarajiwa kusikilizwa katika kesi inayomkabili Donald Trump New York
Published 04/22/24