Rais wa zamani wa Comoros ahukumiwa kifungo cha maisha gerezani - Novemba 29, 2022
Listen now
Description
Kiongozi wa zamani wa Comoro Ahmed Abdallah Sambi, 64, amefungwa kifungo cha maisha gerezani baada ya kuwa katika kizuizi cha nyumbani kwa karibu miaka mitano bila kufikishwa mahakamani hadi Jumatatu wiki iliyopita alipoufunguliwa mashtaka ya uhaini.
More Episodes
Israeli imeishambulia Iran - Maafisa wa Marekani
Published 04/19/24
Uhaba mkubwa wa petroli washuhudiwa visiwani Zanzibar
Published 04/18/24
Watalaam wa hali ya hewa watoa asababu ya mvua kubwa Tanzania
Published 04/17/24