Senegal yafuzu kuingia raundi ya 16 bora kwenye michuano ya Kombe la Dunia - Novemba 30, 2022
Listen now
Description
Timu ya taifa ya Senegal Simba wa Teranga imekuwa ya kwanza ya Afrika kufanikiwa kuingia kwenye raundi ya 16 katika michuano ya mwaka huu baada ya kuifunga Ecuador bao 2-1.
More Episodes
Mili ya watu wawili yaopolewa karibu na daraja lililobomolewa na meli Baltimore
Published 03/28/24
Gavana wa Jimbo la Maryland, Wes Moore, ameweka wazi kuwa hapakuwa na kitendo chochote cha kigaidi baada ya daraja kuu katika mji wa Baltimore kubomoka Jumanne asubuhi wakati meli iliyobeba mizigo kugonga nguzo yake.
Published 03/27/24
Mgombea urais kwa tikiti ya upinzani wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, mgeni kisiasa, lakini ambaye ni maarufu miongoni mwa vijana wasioridhishwa na utawala uliopo, aliahidi Jumatatu kutawala kwa unyenyekevu na uwazi, wakati akisubiri kutangazwa kuwa rais ajaye.
Published 03/26/24