Dunia yaendelea kuomboleza kufuatia maelfu ya watu kufariki dunia kwa tetemeko la ardhi Syria na Uturuki. - Februari 07, 2023
Listen now
Description
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
More Episodes
Historia iliaandikwa jana Jumatatu pale, rais wa zamani wa Marekani, alijipata kizimbani, kwenye mahakama moja mjini New York, na kupinga vikali mashtaka ya kashfa ya kuzuia taarifa kuhusu maisha yake ya kibinafsi, kuwekwa wazi, ili zisiathiri vibaya nafasi yake ya kushinda uchaguzi wa rais.
Published 04/23/24
Hoja za ufunguzi zatarajiwa kusikilizwa katika kesi inayomkabili Donald Trump New York
Published 04/22/24
Israeli imeishambulia Iran - Maafisa wa Marekani
Published 04/19/24