10 episodes

Ulimwengu wa teknolojia masikioni mwako. Thread za twitter zilizogeuzwa kuwa sauti.

HabariTech HabariTech : Mambo Wasiyokwambia Kuhusu Teknolojia

    • Technology

Ulimwengu wa teknolojia masikioni mwako. Thread za twitter zilizogeuzwa kuwa sauti.

    Kutengeneza Podcast Bila vifaa vya Gharama

    Kutengeneza Podcast Bila vifaa vya Gharama

    Ukitaka kuanza tengeneza podcast unaweza dhani unahitaji vifaa vya gharama ili uweze. Hiyo sio kweli kwa hapa HabariTech. Sisi tunatumia siku tu na tunatoa podcast nzuri.

    • 31 min
    Utapoteza Account zako za Google

    Utapoteza Account zako za Google

    “Use it or Lose it” Google wanakwambia “Tumia au Ipoteze”. Wanaongelea zile accounts ambazo zimekaa muda mrefu bila kutumika. Hizi account zote zitafutwa bila kujali kama mmiliki yuko hai au tayari amefariki.

    • 20 min
    Google Chrome CAPTCHA kuondolewa katika Version Zijazo

    Google Chrome CAPTCHA kuondolewa katika Version Zijazo

    CAPTCHA imekuwa ni kitu inakera sana hivi karibuni pale inapokuja mara kwa mara. Kila muda inakutaka kuthibitisha kama wewe ni binadamu. Ni kama vile bots zimeanza kuichukua dunia, lakini haiko hivyo.

    • 13 min
    Google kubadili icon ya HTTPS kwa sababu imepoteza uhalisia wake

    Google kubadili icon ya HTTPS kwa sababu imepoteza uhalisia wake

    Mwanzoni mwa miaka ya 2010s kufuli iliyofungwa ilianza kutumika kuonyesha kwamba website ziko salama. Miaka ya sasa hivi alama hii imeonekana kupoteza thamani yake kwa kuwa hata website zenye malicious code zinaonekana kutumia alama hii. Hivyo google wameamua kuja na utatuzi mpya wa tatizo hili.

    • 11 min
    Namna mitandao ya kijamii inasikiliza kila unachoongea

    Namna mitandao ya kijamii inasikiliza kila unachoongea

    Sio mara moja watu mtandaoni wamelalamika kwamba mitandao ya kijamii inasikiliza mazungumzo yao. Hiyo ni kwa sababu huwa wakizungumza kuhusu jambo wanaanza kuona matangazo kuhusu hicho kitu.

    Kuna namna ambayo mitandao ya kijamii inasikiliza mazungumzo yako, lakini sivyo hivyo unavyofikiria .

    • 26 min
    Kifo Cha Google Launcher

    Kifo Cha Google Launcher

    Miaka yote google wamekuwa mstari wa mbele katika kutoka bidhaa/software ambazo zinapendelewa na watu. Imekuwa ni kampuni ambayo ikiona software haiko vizuri wanaiondoa sokoni na kuleta nyingine. Sasa hivi ni zamu ya kuiondoa kabisa Google Launcher.

    • 10 min

Top Podcasts In Technology

No Priors: Artificial Intelligence | Technology | Startups
Conviction | Pod People
Lex Fridman Podcast
Lex Fridman
All-In with Chamath, Jason, Sacks & Friedberg
All-In Podcast, LLC
Acquired
Ben Gilbert and David Rosenthal
Hard Fork
The New York Times
This Week in XR Podcast
Charlie Fink Productions