9 episodes

Kipindi kinachohusisha mijadala na mahojiano kuhusu Akili Hisia yaani Emotional Intelligence. Sikiliza upate kufahamu umuhimu wake na namna unvyoweza kuijenga na kuitumia Emotional Intelligence kwenye maisha yako ya kila siku.

Emotional Me Swahili Peter Thadeo

    • Health & Fitness

Kipindi kinachohusisha mijadala na mahojiano kuhusu Akili Hisia yaani Emotional Intelligence. Sikiliza upate kufahamu umuhimu wake na namna unvyoweza kuijenga na kuitumia Emotional Intelligence kwenye maisha yako ya kila siku.

    Upweke na Remi

    Upweke na Remi

    Wengi huitazama hisia ya Upweke kwa mtazamo hasi lakini episode hii itakufundisha namna ya kuitazama hisia kama fursa ya kutambua mahusiano sahihi kwako pamoja na mbinu ya kukabiliana na Upweke. Zaidi utajifunza kupitia maisha ya Education Specialist Remi ambaye alikabiliana na changamoto hii ya upweke.

    • 58 min
    Furaha na JOL Master

    Furaha na JOL Master

    Episode hii itakuongoza kupitia mwanasaikolojia mzoefu, namna gani ya kuikaribisha furaha kwenye maisha yako hata wakati wa changamoto. Huku ukijifunza mengi kuihusu furaha kutoka kwenye stori ya maisha ya mchekeshaji nguli JOL Master. 

    • 57 min
    Jinsi ya Kukabiliana na Stress

    Jinsi ya Kukabiliana na Stress

    Fahamu zaidi kutoka kwa mwanasaikolojia mzoefu kuhusu stress  na njia bora za kukabiliana nayo. Na kwa namna ya kipekee jinsi Stress ilivyogeuka kuwa Fursa na kubadilisha maisha Banker mzoefu, bwana Stephen Matinya.

    • 58 min
    Ielewe zaidi Hofu

    Ielewe zaidi Hofu

    Hofu ni sawa na alarm ya mwili kwenye maisha, ikitoa taarifa za hatari na kukumbusha yale yalio muhimu zaidi. Sikiliza episode hii ufahamu zaidi kutoka kwa Mwanasaikolojia mzoefu ni kwa namna gani Hofu huifanya kazi hiyo ya alarm pamoja na mengine muhimu kuhusu hisia ya Hofu.

    • 28 min
    Emotional Intelligence kwenye Ajira/Biashara yako

    Emotional Intelligence kwenye Ajira/Biashara yako

    Sikiliza kufahamu namna Emotional Intelligence invyoweza kuwa Baraka kubwa kwenye Ajir ama Biashara yako kupitia faida zake. Pia utapata muongozo kutoka kwa Mwanasaikolojia mzoefu wa namna gani unaweza kuitumia Emotional Intelligence kwa tija kwenye Ajira au Biashara yako.

    • 28 min
    Emotional Intelligence kwenye Familia

    Emotional Intelligence kwenye Familia

    Fuatilia episode hii kujifunza kama mzazi unawezaje kuikaribisha Emotional Intelligence kwenye Familia yako na manufaa yake kwako na kwa familia ni yapi?

    • 28 min

Top Podcasts In Health & Fitness

Huberman Lab
Scicomm Media
The School of Greatness
Lewis Howes
ZOE Science & Nutrition
ZOE
On Purpose with Jay Shetty
iHeartPodcasts
Soothing Sleep
OpenMind
Passion Struck with John R. Miles
John R. Miles