Episodes
Kuna Kelele nyingi sana ambazo zinawakatisha tamaa watu wengi kwenye biashara au vitu wanavyoviamini. SIRJEFF Denis anakabiliana nazo vipi mpaka kufika pale alipo. Alianzaje safari yake ya biashara mpaka kuwa hapa alipo leo? Kwanini tunaona ananata sana na kujisikia? Ukweli juu ya hili ni upi?
Published 05/29/20
Published 05/29/20
Kumekuwa na mkanganyiko na mvutano mkubwa kuhusu strategies gani ni nzuri kupita nyingine na wengine wameenda mbali mpaka kudharau watu wanotumia strategy fulani huku wakijitutumua kuwa strategies wanazitumia ni bora kuliko za watu wengine. Nini ukweli katika hili? . Nimekaa na rafiki yangu Elisha Chengula na ameelezea kwa umakini kuhusu hili. Karibu
Published 05/28/20
Saikolojia inachukua nafasi kubwa sana kwenye biashara ya forex. Watu wengi wamekua wakijikuta kwenye wakati mgumu pindi hisia zikiingia wanapotrade na kujikuta wanarudia makosa hayo hayo mara kwa mara. Mimi na rafiki yangu Under30 Millionaire tumefanya majadiliano ni kwa namna gani unaweza kutoka kwenye huu mtego.
Published 05/27/20
Kila msimu unakua na tabia tofauti sokoni. Jambo la msingi ni kuhakikisha unakuwa flexible kuzingatia msimu upi utahitaji nini ili kuwa katika mazingira salama. Hapa tumechambua na kueleza Uncertainity principles na Market most fundamental characteristics hasa kipindi hiki cha janga la Corona ambazo zina-athiri soko la Forex pia.
Published 05/26/20
Umewahi kujiuliza kuhusu Aina mpya ya biashara au makampuni iliyo katika mfumo wa startUp inavyofanya kazi!? Kwanini mfumo huu unatrend sana kote duniani kwa sasa!? Na nini tofauti yake na aina mifumo mingine ambayo imezoeleka kama small, medium na cooperate business. Sikiliza hii podcast kuelewa zaidi.
Published 05/22/20
Namshukuru sana rafiki yangu Nkonya Maduhu (Francis CEO) kukubali wito wa kufanya nae Podcast ili kuelezea zaidi usalama katika hii biashara, aina gani ya broker umtumie na vigezo gani vya kuangalia. Je ukitaka kufungua kampuni ya Forex Afrika Mashariki vitu gani uangalie na masuala ya insurance katika kampuni na wawekezaji wako.
Published 05/21/20
Umeshawahi kujiuliza ni kwa namna gani kutimiza ahadi kutakutengenezea mahusiano mazuri baina yako na hii biashara!? Unajua ni kwa namna gani kushindwa kutimiza ahadi kutakugharimu katika hii biashara!? Sikiliza hii Episode.
Published 05/19/20
Ni kwa namna gani saikolojia ya kuwa mkweli katika maisha na mazingira yaliyokuzunguka inaweza kuchangia mafanikio yako katika biashara ya FOREX.
Published 05/18/20
UTANGULIZI - Karibuni katika mfumo mpya wa uwakilishi wa mawazo na idea mbalimbali ambao nitakua nikikuandalia kwa mfumo wa audio kila siku.
Published 05/15/20