ARE YOU A PROMISE KEEPER OR PROMISE BREAKER!?
Listen now
Description
Umeshawahi kujiuliza ni kwa namna gani kutimiza ahadi kutakutengenezea mahusiano mazuri baina yako na hii biashara!? Unajua ni kwa namna gani kushindwa kutimiza ahadi kutakugharimu katika hii biashara!? Sikiliza hii Episode.
More Episodes
Kuna Kelele nyingi sana ambazo zinawakatisha tamaa watu wengi kwenye biashara au vitu wanavyoviamini. SIRJEFF Denis anakabiliana nazo vipi mpaka kufika pale alipo. Alianzaje safari yake ya biashara mpaka kuwa hapa alipo leo? Kwanini tunaona ananata sana na kujisikia? Ukweli juu ya hili ni upi?
Published 05/29/20
Published 05/29/20
Kumekuwa na mkanganyiko na mvutano mkubwa kuhusu strategies gani ni nzuri kupita nyingine na wengine wameenda mbali mpaka kudharau watu wanotumia strategy fulani huku wakijitutumua kuwa strategies wanazitumia ni bora kuliko za watu wengine. Nini ukweli katika hili? . Nimekaa na rafiki yangu...
Published 05/28/20