KaBrazen The LAM Sisterhood
-
- Kids & Family
Stories of Brazen women from Africa
-
Zarina Patel | Kiswahili
Ili kuutamatisha msimu wetu wa kwanza wa kiswahili, tunakusimulia hadithi ya Zarina Patel, msichana mdogo aliyeokoa bustani ya Jeevanjee kwa kuzuia igeuzwe kuwa maegesho ya magari.
Kwa hivyo waite wenzako, mketi starehe na mfurahie hadithi hii! -
Msichana Mkimya | Kiswahili
Hiileo, tunasikiliza hadithi muruwa inayohusu msichana mkimya aliyewaokoa watu wake. Kama atakavyowaonyesha msichana huyu, ili kutatua tatizo lolote, ni lazima uwe na uwezo wa kusikiliza, kutazama na kujifunza.
Ni bora kwa watoto wenye umri wa miaka 4 hadi 9 na wote wanaopenda hadithi. -
Fatima and Maryam | Kiswahili
Kutoka Kenya hadi Angola, sasa tunakwenda moja kwa moja hadi Morocco! Wiki hii, hadithi tunayorejelea tena ni kuhusu chuo kikuu cha kwanza kabisa duniani!
-
Malkia Njinga | Kiswahili
Katika kipindi cha pili cha KaBrazen, tunafunga safari ya kuelekea Angola kusikiliza hadithi murua ya shujaa mpendwa Malkia Njinga ambaye ni msichana aliyeweza kufungua fundo lolote.
Credits
Sound Engineer: Wambui Waciuri
Illustrations: Melody Jelagat
Written by: Aleya Kassam
Edited by: Anne Moraa
Voiced by: Afrikan Nduta
KaBrazen Team: Afrikan Nduta & Jane Nthanze
Theme song by: Timothy Arinaitwe & Mbogua Mbugua
Logo by: Francis Ally Mlacha
Produced at: Za Kikwetu Productions
Produced by: The LAM Sisterhood
Season 1 Kiswahili of KaBrazen Podcast was conceptualized and produced by The LAM Sisterhood with support from the Ignite Culture Grant. The Season was recorded at Za Kikwetu Productions Limited. Marketing and Distribution support by Africa Podfest.
Kiswahili podcast production, marketing and distribution support for Season 1 is supported by a grant from Ignite Culture: ACP-EU Culture Programme (Eastern Africa). This fund is being implemented by HEVA, in partnership with the British Council Kenya with the financial contribution of the European Union, and with further support from the Organisation of ACP (African, Caribbean and Pacific) States. It is part of the global ACP-EU Culture Programme. -
Mekatilili Wa Menza | Kiswahili
Mekatilili Wa Menza | Kutana Na Binti Mfalme Shujaa Aliyependa Kudansi
-