Is this your podcast?
Sign up to track ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more
Tumsime
Maarifa Podcast na Tumsime
Maarifa Podcast na Tumsime ni podcast ambayo imejikita kutoa maudhui ya teknolojia. Hapa utaweza kujifunza maada mbalimbali katika taaluma katika sayansi ya kompyuta kwa wepesi na pia utaweza kusikia safari za mafaniko kutoka kwa watu mbalimbali, ambazo safari zao zinaweza kukupa mawazo mapya, hamasa na kuzifahamu fursa zilizopo kwa lengo la kujifunza.
Listen now
Recent Episodes
Kwenye kipindi hiki tunaenda kumulika umuhimu wa mawasalino kwa software engineer. Maarifa utakayo yapata yanaweza kutumika kwenye taaluma yeyeto. Utaweza kujifunza vifuatavyo:- 1. Mawasiliano ni nini? 2. Umuhiumu wa mawasiliani 3. Silaha kuu za software engineer kama vile ushawishi na kuuza wazo...
Published 03/29/24
Published 03/29/24
Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia maada ya Tree Data Structure kwenye Kompyuta. Ni moja ya Data Structure muhimu sana unazotakiwa kuzifamu kama unasoma computer science, unafanya kazi kama Software Engineer au unataka kujifunza kuhusu software development. Kwenye Kipindi cha leo...
Published 10/22/23
Do you host a podcast?
Track your ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.
See hourly chart positions and more than 30 days of history.
Get Chartable Analytics »