LBS Media Eng. Kabenda Balete
-
- Education
Katika jukwaa hili utajifunza mengi kuhusu mahusiano,biashara na uwekezaji na utajifunza matumizi sahihi ya vipawa vyako ili kuboresha thamani yako binafsiri ili kujihakikishia mafanikio.
-
Dhana ya kujiajiri
Nini ufanye ili ujiajiri ukiwa kazini? Sikiliza episode hii itakupatia kitu wewe uliye ajiriwa na umefanya biashara nyingi na hazikufanikiwa.
-
Biashara na Uwekezaji
Umesha wahi jiuliza biashara ni nini? Uwekezaji je? Na ni nani basi anaweza kuwekeza?
Na kwanini watu wengi wanafanya biashara na bado hawafanikiwi kuzikuza? Basi sikiliza episode hii hadi mwisho utajifunza mengi. -