Ep 52 - I still want to be a father
Listen now
Description
Mahusiano huisha, na mara nyingine pia ndoa huvunjika. Si vitu ambavyo tunafurahia vikitokea ila uhalisia wa maisha ndivyo ulivyo. Swali ni pale tu, vipi ndoa ikivunjika wakati tayari kuna mtoto ambaye ni zao la ndoa hiyo ni nini kifanyike ili wazazi wote wawili waweza kuwa na haki sawa juu ya mtoto au watoto wao? Michael na Nadia wameketi pamoja na J (si jina lake halisi) wakijadili namna mwisho wa mahusiano ya ndoa yake kulivyokua chanzo cha yeye kutopata nafasi ya kuwa baba kwa namna ambayo angependa kuwa baba kwa mtoto wake J anawakilisha wanaume wengine kwenye mazungumzo haya, ambao kwa namna moja au nyingine wangependa kuhusika kwenye maisha ya watoto wao, ila kutokana na namna mahusiano yao na wenzi wao au namna yalivyo au yalivyoisha imekua ngumu kwao kupata nafasi hii. Swali ni, tufanye nini ili hata kama mahusiano yanaisha, bado mwanaume anapata nafasi ya kuwa baba na kuhusika kwenye maisha ya mtoto wake? Karibu kusikiliza mazungumzo haya
More Episodes
This is the Allan Lucky’s story of how he went against all odds to become the man he is today. Born in Songea, to a christian Family, Allan describes his early life as being constrained in the triangle of three main things, church, school and home. From an early age it seemed that this is how...
Published 04/02/24
Published 04/02/24
In this captivating episode, join us as we sit down with Hisia, a remarkable individual whose journey from humble beginnings in Arusha to musical acclaim and entrepreneurial success in Dar es Salaam is nothing short of inspiring. From immersing himself in the world of sales and marketing at...
Published 03/19/24