Let's keep it real, we need each other (Part 2)
Listen now
Description
Karibu katika sehemu ya pili ya mazungumzo yetu kuhusu mtoto wa kiume na majukumu yanayomkabili katika dunia inayopambania usawa wa kijinsia. Baada ya mazungumzo marefu katika sehemu ya kwanza, sehemu hii ya pili inajaribu kuona ni nini kifanyike ili kuweza kuleta huu usawa na nafasi ya mwanaume katika kulifanikisha hili. Lakini pia, je tunahitaji kubadili mbinu tunazotumia au inabidi tuboreshe hizi hizi zilizopo ili wanaume na wao wapate kushiriki kikamilifu? Rolland Malaba (Madenge) anamalizia sehemu ya pili ya maongezi haya pamoja na watayarishaji wa podcast hii, Michael Baruti na Nadia Ahmed
More Episodes
This is the Allan Lucky’s story of how he went against all odds to become the man he is today. Born in Songea, to a christian Family, Allan describes his early life as being constrained in the triangle of three main things, church, school and home. From an early age it seemed that this is how...
Published 04/02/24
Published 04/02/24
In this captivating episode, join us as we sit down with Hisia, a remarkable individual whose journey from humble beginnings in Arusha to musical acclaim and entrepreneurial success in Dar es Salaam is nothing short of inspiring. From immersing himself in the world of sales and marketing at...
Published 03/19/24