Ukweli wa ndoa yangu
Listen now
Description
Linapokuja swala la ndoa na mafanikio ya ndoa watu wengi huwa na mitazamo tofauti. Wapo wanaosema ndoa ni ngumu na si rahisi kufanikiwa kwenye ndoa, na wapo wanaosema ndoa ni ngazi ya mafanikio pale wanandoa wanapokubaliana kwenye hilo. Leo hii, sisi tunajiuliza, ni nini nafasi ya mwanaume kwenye kuifanya ndoa ifanikiwe? Ni kweli kwamba ndoa inapaswa kuwa ngumu? Kwa wanaume ambao wamefanikiwa kuishi kwenye ndoa vizuri na kwa muda mrefu, ipi imekuwa chachu ya mafanikio hayo? Julius Mlacha ana umri wa miaka 50, na ndoa yake inakaribia miaka 25. Ameungana na Michael na Nadia kwenye maongezi haya akielezea kiundani siri ya mafanikio kwenye ndoa yake, na namna gani mwanaume ana nafasi na jukumu kubwa sana kwenye kuhakikisha ndoa yake inadumu na ina stawi katika namna bora. Huu ni ukweli kuhusu ndoa yake
More Episodes
This is the Allan Lucky’s story of how he went against all odds to become the man he is today. Born in Songea, to a christian Family, Allan describes his early life as being constrained in the triangle of three main things, church, school and home. From an early age it seemed that this is how...
Published 04/02/24
Published 04/02/24
In this captivating episode, join us as we sit down with Hisia, a remarkable individual whose journey from humble beginnings in Arusha to musical acclaim and entrepreneurial success in Dar es Salaam is nothing short of inspiring. From immersing himself in the world of sales and marketing at...
Published 03/19/24