Ep 39 - Men do communicate, differently
Listen now
Description
Wanaume hawajui namna ya bora ya kuwasiliana, kuanzisha mazungumzo ya muhimu na inawezekana hawajui kabisa kuongelea wanayoyapitia, wanayoyafikiria au kuelezea hisia zao wakiwa kwenye mahusiano, hii ni dhana iliyojengeka kwa watu wengi sana, je ina ukweli wowote? Baadhi ya wanaume wanapingana na hili, na wanasema si kweli. Wanaume wanaweza sana kuwasiliana, sema tu wanawasiliana kwa namna ambayo ni tofauti na inahitaji muda kuielewa. Michael na Nadia wanazungumza kwa kirefu sana na Gillsant pamoja na Leslie juu ya mawasiliano, matarajio na changamoto za kutokuwa na mawasiliano mazuri kwenye mahusiano kwa upande wa mwanaume na namna gani mawasiliano yanaweza kujenga au kubomoa kabisa mahusiano hayo.
More Episodes
Get ready for an unfiltered, dynamic conversation about relationships from a man's perspective! Join us as a group of brothers come together to share raw insights, powerful truths, and fresh perspectives on how men can navigate modern relationships and be their best selves. In today's...
Published 04/23/24
Published 04/23/24
This is the Allan Lucky’s story of how he went against all odds to become the man he is today. Born in Songea, to a christian Family, Allan describes his early life as being constrained in the triangle of three main things, church, school and home. From an early age it seemed that this is how...
Published 04/02/24