Ep 42 - Unmatched Mindset
Listen now
Description
Umeshawahi kutaka kufanya kitu ambacho wewe mwenyewe kwa dhati kabisa kutoka moyoni mwako unafahamu kwamba ni ndoto yako na unatamani sana kuitimiza ila watu wanaokuzunguka wasilione hilo wala kukubaliana nalo? Ulifanya nini? Uliweza kukomaa na kutimiza ndoto zako au uliamua kuua ndoto zako na kuishia kufanya kile ambacho kila mtu alikwambie ufanye? Inahitaji ushujaa, uvumilivu na commitment ya hali ya juu ili kuweza kutimiza ndoto zako, na inakua ngumu zaidi pale ambapo jamii, familia na watu wake wa karibu wanaokuzunguka wanaposhindwa kuamini na kukusaidia kutimiza ndoto ulizonazo. Phineas Steven kutoka “Unmatched Basketball” anajua vizuri sana kuhusu yote haya, Ila haikumzuia yeye kwenda mbele ili kuhakikisha ndoto yake inatimia. Karibu usikilize maongezi yake, karibu usikilize “unmatched mindset” yake ilivyomfikisha hapa alipo
More Episodes
This is the Allan Lucky’s story of how he went against all odds to become the man he is today. Born in Songea, to a christian Family, Allan describes his early life as being constrained in the triangle of three main things, church, school and home. From an early age it seemed that this is how...
Published 04/02/24
Published 04/02/24
In this captivating episode, join us as we sit down with Hisia, a remarkable individual whose journey from humble beginnings in Arusha to musical acclaim and entrepreneurial success in Dar es Salaam is nothing short of inspiring. From immersing himself in the world of sales and marketing at...
Published 03/19/24