Episodes
Jambo la kutafuta kwa ajili ya kuangalia na kuhudumia familia yako ni jambo ambalo halikwepeki kwa mwanaume, tena ikiwa ni mwanaume anaewajibika katika majukumu yake. Lakini, kwenye kutafuta wanaume wengi sana wamejikuta ikiwabidi kwenda kuishi mbali na familia zoo ili waweze kuzihudumia na pia waweze kutimiza ndoto walizonazo juu ya familia zao. Kuishi mbali na familia kunakuja na changamoto nyingi sana ambazo labda jamii haizitambui. Wanaume wengi wanateseka na namna ya kulea watoto wao,...
Published 11/10/22
This one is for the books. Our episode with Walter Bgoya, a senior citizen and longtime publisher in Tanzania, is all about intergenerational conversations. Walter dives into this episode and shares his insights as a man on parenting, business, relationships, his values as a man but also, working with his son in the same family business, and how to cultivate a relationship between a father and his children. He also speaks on the differences between men of his generation and this...
Published 10/28/22
Linapokuja swala la ndoa na mafanikio ya ndoa watu wengi huwa na mitazamo tofauti. Wapo wanaosema ndoa ni ngumu na si rahisi kufanikiwa kwenye ndoa, na wapo wanaosema ndoa ni ngazi ya mafanikio pale wanandoa wanapokubaliana kwenye hilo. Leo hii, sisi tunajiuliza, ni nini nafasi ya mwanaume kwenye kuifanya ndoa ifanikiwe? Ni kweli kwamba ndoa inapaswa kuwa ngumu? Kwa wanaume ambao wamefanikiwa kuishi kwenye ndoa vizuri na kwa muda mrefu, ipi imekuwa chachu ya mafanikio hayo? Julius...
Published 10/13/22
The first step to recovery is admitting you have a problem. This week, we're talking about inflation and mental health. A topic that's been a little too close to home for us lately. We've all been there. You wake up on a Monday morning and realize that your entire life has changed since that weekend at the bar. You can't afford anything you want or need, and it's all your fault. Or maybe you're just trying to figure out how to manage this new normal of having less money every single day....
Published 09/29/22
Loving your father can be complicated. Especially if he has been in and out of your life without any explanations for most of it. When he calls for help, do you go running to assist or do you hold back and doubt whether to help him or not? So many questions that are difficult to answer. Mark, who was our first ever guest on the Podcast is back again, and this time he is talking about how he repaired his relationship with his father and how he had to look past his pain and disappointments for...
Published 09/15/22
When the subject of parenthood comes up, you can expect to hear all kinds of opinions. But here's one I don't think anyone will disagree with: there are some people who just aren't cut out to be parents. And it's not because they are not good people or that they would make bad parents, no. It's because for some people, being a parent is a calling and it is just not for everyone. Dr Mujuni, a gynaecologist and his wife who is also a medic have been married for more than four years, and at...
Published 08/25/22
Karibu katika sehemu ya pili ya mazungumzo yetu kuhusu mtoto wa kiume na majukumu yanayomkabili katika dunia inayopambania usawa wa kijinsia. Baada ya mazungumzo marefu katika sehemu ya kwanza, sehemu hii ya pili inajaribu kuona ni nini kifanyike ili kuweza kuleta huu usawa na nafasi ya mwanaume katika kulifanikisha hili. Lakini pia, je tunahitaji kubadili mbinu tunazotumia au inabidi tuboreshe hizi hizi zilizopo ili wanaume na wao wapate kushiriki kikamilifu? Rolland Malaba (Madenge)...
Published 08/11/22
Ni karne ya 21, na mapinduzi mengi sana ya kimaendeleo yametokea duniani na yanaendelea kutokea. Na tunajua kwamba ili tuweze kuendelea kuwa bora kama jamii na kamą wanadamu basi hatuna budi kuyakumbatia mapinduzi yenye tija na yenye kuleta mabadiliko chanya katika jamii yetu. Moja ya mapinduzi ambayo kama binadamu tumechelewa sana kuanza kuyapambania kwa nguvu zote ni mapinduzi juu ya usawa wa kijinsia. Hili ni jambo jema na lenye msingi wenye kuleta heri kwa jamii nzima. Lakini, ili...
Published 07/28/22
One of the things that we set out to do when we started the podcast was to also challenge the stereotypes and to question the habits that for the longest time we’ve never had to question as a society, today’s episode is going to do exactly that. Today, let’s talk about “Consent and Power Dynamics” As a man, a Tanzanian man, what is your knowledge about consent? Where did you learn about it? Were you taught about it or is it something that you had to learn on your own? Do power dynamics...
Published 07/14/22
As men, especially African men one thing we were taught growing up was the importance of being secure and how it was such a weakness or even shameful to admit to your weaknesses and insecurities. But most importantly, the importance of displaying the role of a perfect man to the public. But the truth of the matter is, as humans, we are all flawed and we all have our insecurities. Matter of fact, there is absolutely nothing wrong with you owning up to your insecurities. The question is, do...
Published 06/30/22
Identity and a sense of belonging are things that we all want in this life. Now imagine this, a father decides to disown you before you were even born. Before you reach two years of age, your mother abandons you in the middle of nowhere and she moves on with her life. As a result, you end up feeling rejected, and growing up, you always feel as if you’re not good enough. Do you know the impact this can have on someone’s life? In this episode, our guest Anthony opens up about growing up as...
Published 06/09/22
Mahusiano huisha, na mara nyingine pia ndoa huvunjika. Si vitu ambavyo tunafurahia vikitokea ila uhalisia wa maisha ndivyo ulivyo. Swali ni pale tu, vipi ndoa ikivunjika wakati tayari kuna mtoto ambaye ni zao la ndoa hiyo ni nini kifanyike ili wazazi wote wawili waweza kuwa na haki sawa juu ya mtoto au watoto wao? Michael na Nadia wameketi pamoja na J (si jina lake halisi) wakijadili namna mwisho wa mahusiano ya ndoa yake kulivyokua chanzo cha yeye kutopata nafasi ya kuwa baba kwa namna...
Published 05/26/22
Our favorite podcast is baaaaack. And the amazing conversations are back as well. After 5 months hiatus, Michael Baruti and Nadia Ahmed are back to producing and hosting this podcast. In today’s episode, we ask, why is it so hard for men to communicate their emotions? What happens when men don’t communicate their emotions? Do men know how to communicate their emotions? And why is that important for their mental well-being? In the studio, they are joined by Justice Rutenge, a...
Published 05/12/22
We’ve heard Michael and Nadia interview many people, and we’ve listened to them discuss many issues about mental health and specifically about mental health for men. As we are closing the year and welcoming a new year, they’ve decided to share their experiences about 2021 and the expectations and plans for 2022. They open up about the different struggles they all went through in 2021, what challenged them mentally, how these challenges affected their mental health and the people around...
Published 12/30/21
It is the 21st Century, and a lot has changed regarding the dynamics of both men and women. While in the past, things like arranged marriages made it slightly easier for men to find women they wanted as life partners, the current climate requires most men to step up and approach women first, and in some cases, we’ve had women approaching men as well. While this is the reality of the world right now, there are still many questions that need to be answered. Are men equipped enough to have good...
Published 12/16/21
Why are men so obsessed with power and being seen in control of everything? Is that what makes a real man? Where did this obsession come from? What impact does it have when it comes to men and relationships? Have you ever heard of the wheel of control? Have you ever been trapped in it? Have you ever trapped someone in it? Is the wheel of power toxic? Can we eliminate the men’s desire to take hold of the wheel of power and control? Enters Rajab Mziray, an active member of Men Engage...
Published 12/02/21
At the age of just 21 years old, Idris Sultan won the grand prize of $300,000 from Big Brother Africa House. He lost it all by the age of 23 and he was sinking in debts. He got his life together and cleared his debts by 24, and made three times the money he had lost by the age of 25. Sounds like a story made for Hollywood or Nollywood, right? I mean, for most of us probably that would be the end of us, and we would never be able to pick ourselves up and start again. BUT Idris is not most of...
Published 11/18/21
Given Edward has mastered the tech world, has his own company, he has traveled the world and has received an award from the Queen. Having done all that at the age of just 27, Given looks like he has accomplished it all. And let’s be real, the man has done well for himself. It’s almost tempting to pin it purely on luck. However, as far as luck is concerned, Given would have been considered unlucky from the day he was born.  Raised only by his mother, who had no job, after his father ran...
Published 11/04/21
Black Tax has always existed in our African communities. It is what has helped most of our parents to achieve what they have been able to achieve BUT also, some say it has limited their potentials. As modern men, most of us are the beneficiaries of this system. Through the whole community chipping in and helping out, some of the men in our communities were able to live up to and achieve their full potentials. Now, is it a must for them to pay back their dues by helping others? Is Black...
Published 10/21/21
Kusoma nje ya nchi ya Tanzania kuna mpa mtu faida nyingi sana ukilinganisha na ambae hatapata nafasi hiyo. Vitu kama ubora wa elimu na “exposure” anayoipata si vitu vya kubeza hata kidogo. Kwa wengi ambao hawakupata nafasi hiyo huwa wanawaangalia waliopata hizo nafasi kama watu ambao tayari njia yao ya mafanikio imeshasafishwa na imeshachongwa kabisa, uongo? Lakini je, umeshawahi kujiuliza juu ya maisha ya ughaibuni? Ni namna gani watu wanamudu kuishi mbali na wawapendao kwa muda mrefu? Ni...
Published 10/08/21
Kusoma nje ya nchi ya Tanzania kuna mpa mtu faida nyingi sana ukilinganisha na ambae hatapata nafasi hiyo. Vitu kama ubora wa elimu na “exposure” anayoipata si vitu vya kubeza hata kidogo. Kwa wengi ambao hawakupata nafasi hiyo huwa wanawaangalia waliopata hizo nafasi kama watu ambao tayari njia yao ya mafanikio imeshasafishwa na imeshachongwa kabisa, uongo? Lakini je, umeshawahi kujiuliza juu ya maisha ya ughaibuni? Ni namna gani watu wanamudu kuishi mbali na...
Published 10/07/21
As we unravel today’s topic, we relive the fears of modern-day society as affected by the past experiences and history timeline itself. Well - That’s what we call “Mental work” and we at Men Men Men love to partake in the service. Now, who is a Tanzanian man? What constitutes a Tanzanian Man? What makes a Tanzanian man special? Are they even special? How has Tanzanian history helped shape this man? How does the rest of the world view this man? What are his ethics and values? Do people...
Published 09/23/21
Umeshawahi kutaka kufanya kitu ambacho wewe mwenyewe kwa dhati kabisa kutoka moyoni mwako unafahamu kwamba ni ndoto yako na unatamani sana kuitimiza ila watu wanaokuzunguka wasilione hilo wala kukubaliana nalo? Ulifanya nini? Uliweza kukomaa na kutimiza ndoto zako au uliamua kuua ndoto zako na kuishia kufanya kile ambacho kila mtu alikwambie ufanye? Inahitaji ushujaa, uvumilivu na commitment ya hali ya juu ili kuweza kutimiza ndoto zako, na inakua ngumu zaidi pale ambapo jamii, familia na...
Published 09/09/21
Hii ni kwa ajili ya kujaribu kufanya vitu vipya, kwa ajili ya kuwa tofauti na zaidi ya yote, ni kwa ajili ya mabadiliko ya afya ya akili ya Mwanaume wa kitanzania Binadamu wengi sana hua tunaridhika na yale tunayoyajua na yale ambayo tumeyazoea. Na mara nyingi huwa tuna hofu kubwa sana ya kujaribu mambo maya aida kwa sababu ya mazoea au kwa kuhofia matokeo ya lile jambo. Lakini, tutawezaje kuwa watu bora na tutawezaje kubadilika kama hatutaki kujaribu mambo mapya? Danny pamoja na Patrick...
Published 09/04/21
Kwa nini unaishi? Ni kipi ambacho unakitaka maishani? Ni kipi unachokithamini? Upo tayari kukifanyia kazi ili kukipata? Upo tayari kuachana na yale ambayo yanasimama katikati ya wewe na kufikia pale unapotaka kufika? Upo tayari kulipa gharama za kuweza kufika pale? Na zaidi ya yote, KWA NINI hicho kitu ni muhimu kwako? Safari ya miasha inakuja na mambo mengi sana, méngine tunaweza yaelezea mengine hatuwezi ila ukweli ni kwamba watu wengi sana bado tupo kwenye safari ya kujitafuta na ya...
Published 08/26/21