Sikio La Kufa dhannuni mkwama
-
- Arts
Kisa cha sikio la kufa kinamuelezea kijana hasokuwa na heshima kwa wazazi wake alivyowatoroka wazazi nakwenda kutafuta maisha mjini na misukosuko aliyokutana nayo mjini hata kushindwa nakurudi kijijini kwa wazazi
-
-
*SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA*
Riwaya ya Sikio la kufa inamafunzo mengi sana inaonesha kijana Bashiri jinsi gani alivyopata tabu ya maisha kutokana na kutokuwasikliza wazazi wake. Lakini now riwaya iliyojaa semi na methali za Kiswahili zenye kunogesha riwaya.
-