AfyaCast Episode 01 Fahamu Kundi Lako la Damu Hutokana Na Tabia Ulizonazo
Listen now
Description
Je unajua kuwa tabia ulizonazo ni kutokana na kundi lako la damu? Kwa kawaida kila binadamu yuko kwenye kundi mojawapo la damu kati ya makundi manne A,B,AB na O. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/brainujazopodcast/message