Description
IJUE LUGHA AMBAYO MUNGU ANAONGEA - Innocent Morris
Katika somo hili utajifunza kuhusu lugha ya Mungu, na ukiijua lugha ambayo Mungu anaongea utakuwa na amani wakati wote.
Kujua lugha ya Mungu itakusaidia hata katika kupambanua sauti ya Mungu na sauti ya adui. Katika somo utajifunza pia namna ya kuisikiliza sauti yake.
Hili ni somo zuri na la baraka sana katika maisha ya mkristo.
Sikiliza somo hili mpaka mwisho.
Usisahau kushare na wengine.
Ubarikiwe sana.
Innocent Morris
+255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Instagram Link:
https://www.instagram.com/holyspiritconnect
Facebook Link:
https://www.facebook.com/holyspiritconnect
YouTube Link:
https://www.youtube.com/holyspiritconnect