Description
MAOMBI: OMBA UREJESHO WA NGUVU YA KUOMBA- Innocent MorrisĀ
Uliyepoteza kiu ya kuomba, uliyepoteza nguvu ya kuomba na unayehitaji maisha yako ya maombi yaende viwango vya juu zaidi haya ni maombi ya kuomba. Hata kama unahitaji uponyaji haya ni maombi mazuri kwako.
Karibu sana tuombe pamoja.
Ubarikiwe sana.
Innocent Morris
+255652796450 (WhatsApp)