S02E06 NJIA NNE ZA KUKABILIANA NA STRESS (MSONGO WA MAWAZO) NA DEPRESSION (SUNUNO)
Description
Hizi ni njia nne ambazo unaweza kuzitumia kukabiliana na stress (msongo wa mawazo) na Depression (Sununo) nimepitia maandiko/machapisho ya wanasaikolojia kadhaa na kuongea na baadhi ya watu waliopitia changamoto za stress, wamenieleza njia kadhaa walizozitumia kuikabili stress nami nimeshare nanyi kupitia podcast yangu. Karibu kusikiliza