Kutembea na Mizimu ya Chimurenga ya Pili ya Zimbabwe
Listen now
Description
Katika kipindi hiki, Bongani Kona anatembelea tena waasi wa vijijini ili kukomboa nchi yake ya Zimbabwe kutoka kwa utawala wa wazungu katika miaka hii ya 1970. Kona anasema kuwa jinsi maadhimisho ya waliouawa kutokana na vita hivi yanavyofanywa na serikali ya baada ya ukoloni, ni suala linaloathiri masilahi ya walio hai na waliokufa. Hili ni toleo la Kiswahili la podikasti hii. Unaweza pia kusikiliza matoleo katika Kiingereza na Kifaransa.ShukraniMwandishi : Bongani KonaUhariri wa hati: Sophie Schasiepen kwa usaidizi wa Andri BurnettTafsiri : M.W.O & M. M., AfrolingoMsimulizi: Furaha RuguruMtayarishaji / mhariri: Andri BurnettMtayarishaji Mtendaji: Sophie Schasiepen AsanteBongani Kona angependa kuwashukuru Paolo Israel na Nicky Rousseau. Kusoma Zaidi Marejeleo ni pamoja na kazi za  Hilton Als, Marissa J. Fuentes, Milan Kundera, Viet Thanh Nguyen, Derek Mahon, Mandy Moe Pwint Tu, Terence Ranger, Maria Stepanova, Flora Viet-Wild, Richard Werbner. Tafadhali pata marejeleo kamili yaliyoorodheshwa hapa. Ufadhili Podcasti ya Kuomboleza Waliokufa ilitungwa kama sehemu ya mchango wa Chuo Kikuu cha Western Cape kwa mradi wa utafiti “Reconnecting 'Objects': Epistemic Plurality and Transformative Practices in and beyond Museums”, unaofadhiliwa na Volkswagen Foundation.
More Episodes
In this episode, Bongani Kona revisits the largely rural insurgency to liberate his homeland of Zimbabwe from white rule in this 1970s. How the slain from this war are commemorated by the postcolonial state, Kona argues, is a matter that affects the well-being of both the living and the...
Published 05/16/24
In this episode, we embark on a journey with the Karanga Aotearoa Repatriation Programme, which is situated at the Museum of New Zealand Te Papa Tongarewa. The Karanga Aotearoa Repatriation Programme is as an indigenous-led and government-mandated authority who negotiates the return of ancestral...
Published 05/16/24