Mkristo lazima Aelewe Kuwa Kutoa Kwako Mbele Za Mungu Hauzalishi IMANI bali IMANI ndiyo inayomzalisha Mtoaji. Utoaji Wetu Haupimwi Kwa Asilimia Bali kwa IMANI Fungu La Imani Ndio Maelekezo Ya Mungu... Na Lazima ujue Sadaka Hii mnayoita Fungu la Kumi Ni Ya Mungu Wala Sio Ya Mtumishi...
kuna mambo katika maisha ili yaweze kumuachia mtu haitoshi tu KUOMBA, bali, atahitaji KUFUNGA na KUOMBA ili hiyo hali imuachie. Na kuna mambo hayatatoka kwa kufunga na kuomba tu ila KUFUNGA na KUOMBA na KUTOA SADAKA.
NEEMA YA KRISTO INAITAJIKA SANA KWA WALIOMPOKEA YESU KRISTO.
SIO TU KWAAJILI YA KUTUPA UWEZO WA KUSAFISHA MAKOSA YETU ILA KATIKA KUTUSAIDIA KUPOKEA VITU KUTOKA KWENYE UFALME WA MUNGU.
MWENYE HAKI ANAITAJI SANA NEEMA KULIKO ASIYE HAKI.