Kama Mazoea kwa Ngoswe, vivyo hivyo Brooke Shields kwa Andre Agassi.--Utofauti uliopo ni kuwa, karatasi za sensa za maisha ya Andre, ziliokolewa na huba la Steffi Graf.
Kama ile ya Romeo na Julieth, hii nayo ni simulizi ya wapendanao--Tafadhali Isikilize.
Published 04/22/24