Episodes
Siku ya kumkumbuka mzazi mama huidhinishwa kila jumapili ya kwanza mwezi wa tano ambayo ni Leo. AKina mama hoiyeee!!!
Published 05/09/21
Siku ya wanawake kote duniani huadhimishwa tarehe 8 mwezi wa tatu kila mwaka. Yafuatato ni makala maalum kuhusu siku hii
Published 03/08/21
Published 03/08/21
Kawaida, siku ya radio duniani huadhimishwa kila tarehe 13 februari ya kila mwaka. Mwaka huu haujaachwa nyuma kauli mbiu ikiwa ULIMWENGU MPYA, RADIO MPYA
Published 02/13/21
Je, ni nini maana ya nyimbo ambazo huimbwa msimu wa krisimasi na asili ya nyimbo hizi ni ipi?? Kwa Mengi zaidi,skiza makala yafuatayo.
Published 12/23/20
Baada ya ghasia za baada ya uchaguzi,nchi ya Kenya ilichafuka sana. Chuki, vifo nakadhalika. Ili kuondoa mambo haya. Rais Uhuru na Raila odinga wakaonelea waje na salamu Za heri maarufu handshake na papo hapo mtoto BBI akazaliwa
Published 12/14/20
Pengine ushawahi patana na mlemavu na ukamdharau na labda pengine ukambeza!!! Lakini unalopaswa kujua ni kuwa eti, "Kilema ni binadamu " na wana haki Sawa na binadamu yeyote Yule.
Published 12/03/20
Wakenya walikuwa na mategemeo chungu nzima ya mwaka wa 2020.lakini Lo! Maradhi ya covid ya kabisha hodi na bila hata kungojea kukaribishwa. Yakajibwaga nchini na duniani na kuanza kutesa binadamu hadi waeleo.
Published 11/29/20
Published 11/29/20