Gumzo la Wiki Podcast; Gideon Moi debeni 2022; hofu UDA na OKA
Listen now
Description
Kuidhinishwa kwa Gideon Moi kupeperushwa bendera ya KANU kumezidisha ushindani wa urais kuelekea 2022. Aidha, Rais Kenyatta anawawinda wana-OKA usiku na mchana ili wote waseme Mzee Tinga tosha. Na je, wabunge wa Kieleweke watafaulu kumfanyia Odinga kampeni Mlima Kenya? Nao wandani wa Ruto wanasema wafanyabiashara wa Mt. Kenya Foundation hawana usemi wa kisiasa. Vilevile tumeangazia Mswada wa NHIF na mpango wa Afya kwa Wote, UHC? Wanahabari wetu, John Mbuthia wa Nyeri, Moses Kiraese wa Pokot Magharibi na Martin Ndiema wa Trans Nzoia wanatupambia makala haya.
More Episodes
Suala la gharama ya maisha limeendelea kumkosesha Hasla usingizi! Ameamua kutumia mbinu tatu; mbolea ya bei nafuu, serikali na sekta binafsi kuagiza tani elfu miatatu za mbolea na kuagiza mahindi ili kukabili uhaba wa chakula. Atafaulu? Aidha, kuna more goodies kwa mahasla, Rais akipata fedha...
Published 12/17/22
Published 12/17/22
Uteuzi wa makatibu umezua mjadala, wana-Azimio wakilalamika kwamba Rift Valley na Mt.Kenya zimependelewa. Unadhani suala la kimaeneo lilizingatiwa? Aidha, Baba anadai Kinoti anaandamwa na anataka majasusi wa kimataifa kualikwa kushughulikia suala la mauaji ya kiholela. Riggy G naye hataki harufu...
Published 11/05/22