Is this your podcast?
Sign up to track ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more
Amani Longishu
Amani Longishu Podcast
Je, umewahi kuhisi kama mitandao ya kijamii inapoteza muda wa biashara yako? Naam, turekebishe hilo! Ulimwengu wa uuzaji mtandaoni unabadilika kila wakati, kwa hivyo niruhusu niendelee kukufahamisha mabadiliko. haya na jinsi ya kukabiliana nayo Show hii itakupa muongozo wa uuzaji kwenye mitandao ya kijamii na Updates mpya. Nitazingatia zaidi jinsi ya kukua kwenye Instagram, Facebook, TikTok, na majukwaa yoyote yanayoibuka ili kukuza chapa yako na Biashara, Subscribe usipitwe!
Listen now
Ratings & Reviews
4.8 stars from 20 ratings
Best Instagrwm coach in Tanzania
Coach amani asante sanaa🥳🤩🤩kila nikisikiliza podalcast yako napata kitu kipyaa!!
Picklolla via Apple Podcasts · Tanzania · 12/02/22
Unanisaidia sanaaa amani
Nilipost new arrivals baada ya kusikilizs episode ya 40 nikapata wateja!!!✨✨👌🏾👌🏾
Didytrends via Apple Podcasts · Tanzania · 11/30/22
Nisahbiz
Nakusikiliza kwa makini sana Coach 👏🏾👏🏾. Ahsante kwa Nondo
ms.mansour_ via Apple Podcasts · Tanzania · 09/23/22
Recent Episodes
Episode hii inakupa mbinu za jinsi ya kukuza biashara facebook. Jifunze hatua muhimu za kufanikiwa katika kuuza facebook na kufikia wateja wapya! Jiunge kozi ya kupata wateja wengi...
Published 04/24/24
Published 04/24/24
Episode hii inakupa mbinu za Jinsi Ya Kukuza Biashara Tiktok. Jifunze hatua muhimu za kufanikiwa katika uuzaji tiktok na kufikia wateja wapya! Jiunge kozi ya Kupata Wateja Wengi...
Published 04/23/24
Do you host a podcast?
Track your ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.
See hourly chart positions and more than 30 days of history.
Get Chartable Analytics »