Episodes
Hello Hello WEALTH BUILDERS, Another Week, Another Chance For A Must Have Money Conversation. Please Share This Episode With Friends & Family. Let The Money Gospel Spread, For Everyone Needs It. Love & Respect, Grace.
Published 03/25/24
Published 03/25/24
Usiwe umeingia tu kwenye safari hii ya kujenga utajiri bila kuwa na ''KWANINI'' ni muhimu na lazima kujua sababu. Sikiliza episode hii kuelewa zaidi. Love & Respect, Queen Gee - The Wealth Building Coach
Published 01/30/24
Happy New Year Wealthy People! Karibuni Kwenye Episode Hii Ambayo Tunaangalia Moja Ya Tabia Ya Kutokuendekeza Kifedha 2024. Ni matumaini Yangu Hautakuwa Tu Msikilizaji Bali PiAa Utakua Mtekelezaji. Love & Respect, Queen Gee - The Wealth Building Coach
Published 01/22/24
Karibu Kwenye Episode Nyingine Ya The Wealth Building Podcast, Elimu Hii Waliyosahau Kukufundisha Shule, Share Na Wengine Tujifunze Pamoja.XOXO,The Wealth Building Coach
Published 09/19/23
Kazi ya fedha zako sio kulipa bills tu na madeni, kuna zaidi ya hayo. Jifunze kazi zaidi ya pesa zako kwenye episode hii ya leo. Usisahau kushare episode hii na wengine. XOXO, Your Wealth Building Coach
Published 07/16/23
Usiache tu mambo yako ya kifedha yaenda bora yameenda, kuwa in control, shikilia uskani mtu wangu. Mwaka unapogawanyika zingatia kufanya mambo haya muhimu kifedha. XOXO, Your fave wealth building coach.
Published 06/12/23
Moja ya kanuni muhimu kwenye safari hii ya kujenga utajiri ni kuwa na vyanzo vingi vya mapato. Leo tunaangalia umuhimu wa kuwa na vyanzo vingi vya mapato. Enjoy listening & learning, XOXO, Your fave Wealth Building Coach.
Published 05/16/23
Moja ya financial principle ya muhimu ni kuhakikisha unajilipa wewe kwanza kwenye kila mapato unayopata. Unajilipa vipi na kwanini ni muhimu utajifunza hapa kwenye episode ya wiki hii. Enjoy listening & learning, XOXO, Your wealth building coach.
Published 05/01/23
Ile episode tumekuwa tukisubiri kwa hamu hii hapa. Usiogope Mikopo, Ogopa Mikopo Mibaya! Usiache kushare na marafiki episode hii, XOXO, Queen Gee. The Wealth Building Coach.
Published 03/28/23
Hello Wealthy People! Najua ungependa kuzifahamu hatua za kufikia uhuru wa kifedha basi nami bila iyana nakuletea hizi hapa hatua za muhimu za kuzingatia ili uweze kufikia uhuru wako wa kifedha. XOXO, Queen Gee, The Wealth Building Coach.
Published 03/13/23
Hello Wealthy People! Episode hii ni ya wote tunaoshindwa kuweka akiba, sababu hizi ukizifanyia kazi utavuka eneo hilo la kuweka akiba na utakuja kunishukuru baadae.   Tafadhali Usiache Ku-Subscribe, like, comment pamoja na kushare episode hii na rafiki.   XOXO,  Your Wealth Building Coach
Published 03/06/23
Mpaka sasa utakua umefahamu mengi kwenye safari yako ya kupata uhuru wa kifedha, lakini la muhimu kufahamu zaidi utalijua kwenye hii episode.
Published 02/08/23
Nani asiyetaka kuwa huru kifedha? Hakuna! So leo tunaangalia nini unaweza kufanya ili ufikie uhuru wako wa kifedha.
Published 01/30/23
Usiruhusu kufanya kazi, kupata mapato na kuishia kulipa madeni kila siku. Badilika!
Published 01/18/23
Happy new year! Unawaza jinsi ya kufikia malengo yako kifedha mwaka huu? Majibu yapo kwenye episode hii.
Published 01/10/23
Chukua kalamu na note book, andika mambo haya chini, uyashike na kuyazingatia, utakuja kunishkuru badae.
Published 12/29/22
Wiki hii tunajibu maswali ya kifedha mliouliza, kama bado una swali usisite kuuliza.
Published 12/19/22
Budgeting ni jambo la msingi sana kwenye safari ya kujenga utajiri. Kujua aina ya budget itakayokufaa kutokana na malengo uliokuwa nayo, sikiliza episode hii.
Published 12/03/22
Mdomo unaumba tunajua siku zote, sasa je unasema nini kuhusiana na fedha? Unaumba Nini kwa kinywa chako mwenyewe?
Published 11/18/22
Mfumuko wa bei unakutesa na kukukosesha raha? Sikiliza episode hii.
Published 11/02/22
Kuzijua tabia hizi tu haitoshi kwenye episode hii unapata pia tiba ya tabia hizi.  #uhuruwakifedhanilazima
Published 10/20/22
Ili kupata uhuru wa kifedha unahitaji kuwa in control kwenye maisha yako, moja ya changamoto inayotufanya tushindwe kuwa in control ni madeni. Njia hizi zitakusaidia kuchomoka kwenye madeni yanayokulemea.
Published 10/12/22
Usisubiri kesho au sijui lini ndo uamue kuwa serious na mambo yako kifedha, kesho hatuijui leo ndo tunayo. Anza Leo Anza Sasa!
Published 09/27/22
Kipato kidogo sio excuse ya kushindwa kufikia malengo yako. Hizi hapa kanuni ambazo ukizishika na kuzizingatia zitakusaidia kuweka akiba na kufikia malengo yako hata kama kipato chako ni kidogo.
Published 09/19/22