Is this your podcast?
Sign up to track ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more
Jeremiah Paul Wandili
SAUTI-SIKIKA
Sauti iliyo ndani yako ina nguvu kuliko sauti nyingi zilizo nje yako. Kubali kusikiliza sauti yako ya ndani. Sauti ya ndani ina nguvu ya kuleta mabadiliko. Ipo nguvu ya ndani katika sauti yako.
Listen now
Recent Episodes
Usipofuta kibao, huwezi jua kwanini gari la taka linaoshwa hili liweze kubeba taka tena. Maana cha muhimu kwetu sio miaka uliyoishi katika maisha yako, cha muhimu kwetu ni thamani ya maisha yako katika miaka uliyoishi. Kumbuka mito hainywi maji yake na miti haili matunda ya mti wake. Sikiliza...
Published 06/12/20
Published 06/12/20
Mh, Waziri Dr. Phillip Mipango, anasikika moja kwa moja kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipaza sauti kulelezea Mpango wa Maendeleo wa Mwaka 2020/21 na hali ya Uchumi wakatika wa Bunge la Bajeti Tarehe 11/06/2020. Je, unajua sekta zenye kuwekewa kipaumbele kwa Mwaka 2020/21 na...
Published 06/11/20
Do you host a podcast?
Track your ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.
See hourly chart positions and more than 30 days of history.
Get Chartable Analytics »