Episodes
Meet a young entrepreneur Kennedy Mmari sharing his journey as a businessman.
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Published 05/16/23
Dunia ya kidigitali ndio dunia ya sasa, kila kitu kina athiriwa moja kwa moja na teknolojia, tunaposema kila kitu tunamaanisha mpaka kwenye kazi na ajira. Tunakutana na Ashura ambae ni mmja wa waanzilishi wa jukwaa la wafanyakazi huru linalofahamika kama Gigspace.
Ashura anatueleza mengi kuhusu wazo lake la kutoka kua mfanyakazi huru, mpaka kuunda jukwaa lake la wafanya kazi huru (Freelancers), kuna mengi ya kujifunza kutoka kwake.
The Founders with Ashura's Confessions - "Gigi"
Cheers!
...
Published 11/01/22
Kama umewahi kusikia ile methali inayosema "Ukitaka mali utaipata shambani" basi kuna watu wanaweza kukuelezea maana yake vizuri zaidi. Mfahamu Lucas Malembo ambae ni CEO wa Malembo Farm. Ametufahamisha mengi sana kuhusu kilimo biashara, mtazamo wa wengi kuhusu biashara kupitia kilimo ni hasi, wengi hudhani kua sio rahisi kufanikiwa au ni kazi ya waliochoka kimaisha, Je ni kweli?.
Lucas anatuaminisha wazi kabisa anatamani wengi, hasa vijana kujitokeza katika fursa za kilimo, maana kuna pesa...
Published 07/27/22
Katika kila jambo kunahitaji nguvu kubwa kufika kule ambako unapotaka. Mfahamu Muddy Mabiriani, mtanzania alieacha ajira na kuamua kujishughulisha na uuzaji wa chakula akiwa mbobevu wa "Biriani". Ndoto zake na mitazamo yake kuhusu biashara anayofanya kwa ujumla vinafanya awe jinsi alivyo na ndivyo vimemfikisha hapa alipo mpka sasa.
Kuna story nyingi sana unaweza kua unazisikia kuhusu yeye na biashara yake lakini waswahili wanasema "Ukitaka kujua utamu wa ngoma basi ingia uicheze". Tukakaa na...
Published 07/11/22
As a fresh 2019 graduate, She sees an opportunity in fashion and design specifically nail products. Get to know alipita wapi? na alikutana na nini? mpka kufikia hapa alipo?. Challenges zipo but there's a saying "Dreams are worth more than money". Was it the same kwake?
ANNA ROBERT is the brain behind ROBIANNAH Nail Products. Anna anapenda urembo aliamini tunahitaji brand yake!. Beauty is an art. She appreciates beauty and good-looking. She is certain that every woman does too. Moreover, it is...
Published 06/16/22
Kutana na Edgar Mwampinge ambae ni Mwanzilishi wa kampuni inayofahamika kama WorkNasi pamoja na HEPHA. Kuna mengi ya kujifunza kutoka kwake, kutoka kua muhitimu wa shahada ya sheria mpaka kua mwanzilishi wa kampuni za teknolojia.
Changamoto zipo na zinabadilika kadiri unavyoendelea kukua. Lakini kuna changamoto chache mwanzoni unapokua mwanzilishi. Na hizi chache ndio hufahamika zaidi.
Namna ya kuanza hasa katika yale ambayo huna utashi nayo au elimu.Uchumi ni changamoto ambayo haikwepeki...
Published 04/27/22
Welcome to our Podcast series where we talk all about the journeys of many Top Notch People who created their Businesses and Companies from Scratch to Stardom.
See acast.com/privacy for privacy and opt-out information.
Published 03/05/22