Is this your podcast?
Sign up to track ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more
The Standard Group PLC
Vijana na Mapenzi
Ni jukwaa la kila wiki la kuzungumzia mapenzi miongoni mwa vijana; mahusiano, kuchumbiana na mengi yaliyowakaa mioyoni.
Listen now
Recent Episodes
Mitandao ya kijamii siku hizi imeanza kutumiwa na watu wengi kuwatafuta wachumba. Je, ni muda upi unaostahili kuchukua kabla ya kukutana ana kwa ana na mchumba wa mtandaoni? Tumewashirikisha wananchi katika gumzo hili wakiwamo vijana waliojaribu mapenzi ya mtandaoni vilevile mshauri kulihusu...
Published 11/10/22
Published 11/10/22
Kuna misemo kwamba pesa ni sabuni ya roho, pesa ndizo chanzo cha maovu yote na kadhalika. Je, ni kweli kuwa mwanaume anapopata pesa mienendo yake hubadilika? Kwamba wanajiburudisha mno kwa vileo, kuwa na wapenzi wengi wa kike, kuoa mke mwingine na kadhalika. Tumezungumza na wananchi.
Published 10/20/22
Do you host a podcast?
Track your ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.
See hourly chart positions and more than 30 days of history.
Get Chartable Analytics »