Field Marshal Muthoni wa Kirima | Kiswahili
Listen now
Description
Ardhi kuibwa, ndimi zenye sumu na safari ya kishujaa! Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi murua inayohusu msichana aliyeota juu ya uhuru wa kweli. Katika ulimwengu wa kutisha ambapo vyura wasio na rangi wala nyoyo wamenyakua ardhi na hata kubadili nyoyo za watu wake, Muthoni mdogo kamwe hakati tamaa. Muthoni anatukumbusha kwamba hatua kwa hatua, hata sisi tunaweza kufikia uhuru wa kweli kwa kutokata tamaa katika kutimiza ndoto zako.   Zingatia kwa makini: Kupigwa shoti ya umeme kunatajwa na pia dhuluma ya kimwili dhidi ya mtoto. 
More Episodes
Published 11/16/24
Published 11/02/24
Stolen home, poisoned tongues and a heroic journey!  In this episode of KaBrazen, Aunty Shishi reimagines the brilliant story of the girl who dreamt of freedom. In a scary world where the colourless frogs with no hearts have taken over the land, and even turned the hearts of her people, little...
Published 10/18/24