KaBrazen
Listen now
More Episodes
Ili kuutamatisha msimu wetu wa kwanza wa kiswahili, tunakusimulia hadithi ya Zarina Patel, msichana mdogo aliyeokoa bustani ya Jeevanjee kwa kuzuia igeuzwe kuwa maegesho ya magari. Kwa hivyo waite wenzako, mketi starehe na mfurahie hadithi hii!
Published 11/17/23
Hiileo, tunasikiliza hadithi muruwa inayohusu msichana mkimya aliyewaokoa watu wake. Kama atakavyowaonyesha msichana huyu, ili kutatua tatizo lolote, ni lazima uwe na uwezo wa kusikiliza, kutazama na kujifunza. Ni bora kwa watoto wenye umri wa miaka 4 hadi 9 na wote wanaopenda hadithi.
Published 11/10/23
Kutoka Kenya hadi Angola, sasa tunakwenda moja kwa moja hadi Morocco! Wiki hii, hadithi tunayorejelea tena ni kuhusu chuo kikuu cha kwanza kabisa duniani!
Published 11/03/23