Hiileo, tunasikiliza hadithi muruwa inayohusu msichana mkimya aliyewaokoa watu wake. Kama atakavyowaonyesha msichana huyu, ili kutatua tatizo lolote, ni lazima uwe na uwezo wa kusikiliza, kutazama na kujifunza.
Ni bora kwa watoto wenye umri wa miaka 4 hadi 9 na wote wanaopenda hadithi.
Published 11/10/23
Kutoka Kenya hadi Angola, sasa tunakwenda moja kwa moja hadi Morocco! Wiki hii, hadithi tunayorejelea tena ni kuhusu chuo kikuu cha kwanza kabisa duniani!
Published 11/03/23