Episodes
Published 05/26/22
Watanzania kwa ujumla tuanze kupanda miche ya kisasa ya Michikichi kutokana  na nchi kutumia gharama kubwa kuagiza mafuta ya mawese yatokanayo na zao hilo kutoka mataifa mengine duniani.
Published 03/03/22
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii inatekeleza mradi wa kukuza utalii kusini mwa Tanzania (REGROW). Mradi wa REGROW ni mkopo kutoka Benki ya Dunia na lengo kuu la mradi huu ni kuboresha maeneo yenye vivutio vya utalii katika ukanda wa kusini mwa Tanzania. Hii ni pamoja na kuboresha usimamizi wa maliasili na kuimarisha fursa za kiuchumi kwa wananchi wanaozunguka hifadhi ili kuongeza mchango wa sekta ya utalii katika maendeleo ya kiuchumi nchini ....
Published 02/28/22
Mkutano wa Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa na Waandishi wa Habari mkoani Singida, Septemba 26, 2021 #Kaziiendelee
Published 09/26/21
Maelezo ya Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa  Idara ya Habari MAELEZO juu ya Upotoshaji unaoendelea mitandaoni kuhusu Chanjo ya UVIKO-19
Published 08/03/21
Wimbo huu ni zawadi kwa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. JPM  alikua baba wa wanyonge, mtetezi wa masikini na mzalendo wa kweli. JPM anaishi na ataishi ndani yetu milele.
Published 03/22/21
Published 03/09/21
Published 12/05/20
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Mzalendo wa kweli daima anaweka maslahi ya nchi mbele na ya kwake binafsi nyuma.  Kwa maana hiyo hapo juu, mzalendo ni mtu yeyote mzawa na mwenye kuipenda na kujitoa mhanga...
Published 11/26/20
Watanzania kwa Ujumla Tuanze Kupanda Miche ya Kisasa ya Michikichi Kutokana na Nchi Kutumia Gharama Kubwa Kuagiza Mafuta ya Mawese Yatokanayo na Zao Hilo Kutoka Mataifa Mengine - Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 
Published 07/22/20
Published 05/15/20