Malkia Njinga | Kiswahili
Listen now
Description
Katika kipindi cha pili cha KaBrazen, tunafunga safari ya kuelekea Angola kusikiliza hadithi murua ya shujaa mpendwa Malkia Njinga ambaye ni msichana aliyeweza kufungua fundo lolote.    Credits Sound Engineer: Wambui Waciuri Illustrations: Melody Jelagat Written by: Aleya Kassam Edited by: Anne Moraa Voiced by: Afrikan Nduta KaBrazen Team: Afrikan Nduta & Jane Nthanze  Theme song by: Timothy Arinaitwe & Mbogua Mbugua  Logo by: Francis Ally Mlacha Produced at: Za Kikwetu Productions Produced by: The LAM Sisterhood   Season 1 Kiswahili of KaBrazen Podcast was conceptualized and produced by The LAM Sisterhood with support from the Ignite Culture Grant. The Season was recorded at Za Kikwetu Productions Limited. Marketing and Distribution support by Africa Podfest.  Kiswahili podcast production, marketing and distribution support for Season 1 is supported by a grant from Ignite Culture: ACP-EU Culture Programme (Eastern Africa). This fund is being implemented by HEVA, in partnership with the British Council Kenya with the financial contribution of the European Union, and with further support from the Organisation of ACP (African, Caribbean and Pacific) States. It is part of the global ACP-EU Culture Programme. 
More Episodes
Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua kuhusu msichana aliyekuwa na ndoto ya kuimba. Bi Kidude aliimba kwa zaidi ya karne moja huko Zanzibar na kote kote duniani, na anatukumbusha kusikiliza kile kinachotufurahisha…kwani nyoyo zetu zinajua cha...
Published 05/17/24
Published 05/17/24
Ili kuutamatisha msimu wetu wa kwanza wa kiswahili, tunakusimulia hadithi ya Zarina Patel, msichana mdogo aliyeokoa bustani ya Jeevanjee kwa kuzuia igeuzwe kuwa maegesho ya magari. Kwa hivyo waite wenzako, mketi starehe na mfurahie hadithi hii!
Published 11/17/23