Episodes
NASIKIA KUITWA. I Hear Thy Welcome Voice. Na, Lewis Hartsough 1828 - 1919. Lewis Hartsough alizaliwa Agosti 31, 1828, Ithaca, New York Marekani na alihitimu masomo yake huko Cazenovia Seminary mwaka 1852. Aliwekwa wakfu kuwa Mtumishi wa ki-methodist [Methodist Minister] mwaka 1853, na alijiunga na Oneida Conference ya New York Marekani. Yapata mwaka 1868, alihamia magharibi mwa nchi kwa sababu za kiafya, ambapo alikujakuwa mwangalizi mkuu wa the Utah Mission, baadaye mzee mwangalizi wa...
Published 12/29/20
Maneno ya Wimbo yametungwa na Horratio gates Spaffod na Sauti tune ni Philip P. Bliss waimbaji ni kwaya ya Gospel Kijenge Arusha Tanzania East Africa
Published 09/18/20
Semina inayoendea usharika wa Kijenge Arusha KANISA LA KIINJILI TANZANIA
Published 08/09/20
BW MUNGU NASHANGAA KABISA. How Great Thou Art. Tenzi 114.                                      Na, Stuart Keene Hine 1899 - 1989. Bw. MUNGU Nashangaa Kabisa! Umechaguliwa na wapenzi wa nyimbo za sifa huko Great Britain, kuwa utenzi wa Rohoni unaotumika kwenye hafla nyingi nchini humo. Nchini Marekani “Bw. MUNGU Nashangaa Kabisa!” ulirekodiwa na Elvis Presley na wasanii wengine wengi. Ulikuja kuwa sauti kuu [main vocal] iliyotumika kwenye matangazo ya kipindi cha kila wiki cha Billy...
Published 05/31/20