Rapper na mtangazaji wa redio, Frida Amani, anafunguka kwenye #ChillnaSky kuhusu ngoma yake mpya Done ambayo anaelezea kuumizwa vibaya na mwanaume aliyekuwa akimpenda. Anaelezea pia ngoma zake za nyuma, aina yake ya muziki, management yake mpya. Anasimulia pia maisha yake ya utotoni, kulelewa...
Published 02/24/21