FPLTZ Podcast | Gameweek 13 Preview | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22
Description
FPL TANZANIA tunakuletea mazungumzo yetu ya episode 2 kuhusu gameweek 13 na vingine vingi.
Episode hot topics:
- Five at the back?
- Striker ndio basi tena?
- Nini cha kufanya kuhusu Antonio
- Chelsea triple defenders?
- Spurs assets kuelekea fixture nzuri
- Man utd assets sasa OGS kaondoka
- Wachezaji ambao tunawaangalia
- Muda umefika wa kuanza ku captain defenders?
- Nini cha kufanya kuhusu Phil Foden
- Muda wa kumfikiria Mane?
Follow us on:
https://twitter.com/fpltanzania
https://twitter.com/mkali_1
https://twitter.com/ericbaisi
---
Send in a voice message: https://anchor.fm/fpltanzania/message
Last gameweek of 2021/22 season preview. Enjoy the pod FPL managers.
Support Us:
https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania
About Us:
FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi...
Published 05/21/22
Another DGW pod featuring Scout Ipy mzee wa risiti. You are all welcome to enjoy the pod.
Support Us:
https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania
About Us:
FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey...
Published 05/14/22