Gameweek 16 Preview | FPL Tanzania | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22
Listen now
Description
Kwenye episode ya 6 ya podcast hii tunaongelea preview ya gameweek 16. Vilevile tutaongelea team zetu zilivofanya previous gameweek na mipango yetu going forward. Tutagusia pia interesting topics for gameweek 16, prospects for future transfers, captain picks na our mindsets towards FPL in general. 0:00 Intro 02:01 Eric Team Review 📊 03:38 Mkali Team Review 📊 05:18 City Assets 14:32 Strikers Je? 20:26 Fraud Premium Defenders!!!! 23:03 Man UTD entered the chat 28:24 Wazushi Camp - Kane & Co 34:56 Fixture Watch 👀 42:00 Under The Radar! 🔎 48:50 Captain Pick 🧢 About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano! Follow our accounts on: https://twitter.com/fpltanzania https://twitter.com/mkali_1 https://twitter.com/ericbaisi Code ya “FPL TANZANIA - Clubhouse” mini league ni alsp78 --- Send in a voice message: https://anchor.fm/fpltanzania/message
More Episodes
Last gameweek of 2021/22 season preview. Enjoy the pod FPL managers. Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi...
Published 05/21/22
Published 05/21/22
Another DGW pod featuring Scout Ipy mzee wa risiti. You are all welcome to enjoy the pod.  Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey...
Published 05/14/22