Meet the FPL Manager - Iddi Yassin | FPL Tanzania
Listen now
Description
Kwenye episode ya wiki hii Godfrey na Eric wapo pamoja na FPL manager Iddi Yassin a.k.a Shupaza Lambalamba. Manager Iddi anajivunia mafanikio ya kumaliza top 30k duniani. Approach yake ni unique and very interesting katika kuchanganya research, principals na vitabu. Ungana nasi katika kujifunza mengi kuhusu manager Iddi and lessons he has learnt from participating in the FPL Community. FPL Manager profile: Team name: Shupaza Lambalamba Top Rank: 31k Twitter: @iddiyassin About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kumanage FPL teams). New episode ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano! Support Us:  https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania Tusikilize pia kwenye podcast: Spotify: https://bit.ly/FPLTZ_Podcast Apple Podcasts: https://bit.ly/FPL_Podcast Google Podcast: https://bit.ly/3prH275 Castbox: https://bit.ly/3pqB4mZ Anchor: https://anchor.fm/fpltanzania Audiomack: https://audiomack.com/fpltanzania RSS: https://anchor.fm/s/74e88144/podcast/rss Follow our accounts on: https://twitter.com/fpltanzania https://twitter.com/mkali_1 https://twitter.com/ericbaisi Code ya “FPL TANZANIA” mini league ni alsp78 --- Send in a voice message: https://anchor.fm/fpltanzania/message
More Episodes
Last gameweek of 2021/22 season preview. Enjoy the pod FPL managers. Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi...
Published 05/21/22
Published 05/21/22
Another DGW pod featuring Scout Ipy mzee wa risiti. You are all welcome to enjoy the pod.  Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey...
Published 05/14/22