Meet the FPL Manager - Ipyana Itika | Scout | FPL Tanzania
Listen now
Description
Kwenye episode hii Godfrey na Eric wapo pamoja na FPL manager Ipyana Itika a.k.a Scout. Manager Ipyana anajivunia kuanzisha moja ya competitive mini league ya ‘Gaffers’ pamoja ya kuaminiwa na his fellow fpl managers kama scout. Ungana nasi kupata kusikia passion, dedication, fun and lessons learned from the ‘scout’ himself. FPL Manager profile: Team name: Havocks Top Rank: 690k Twitter: @Tanzania_FPL About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kumanage FPL teams). New episode ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano! Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania Follow our accounts on: https://twitter.com/fpltanzania https://twitter.com/mkali_1 https://twitter.com/ericbaisi Code ya “FPL TANZANIA” mini league ni alsp78 --- Send in a voice message: https://anchor.fm/fpltanzania/message
More Episodes
Last gameweek of 2021/22 season preview. Enjoy the pod FPL managers. Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi...
Published 05/21/22
Published 05/21/22
Another DGW pod featuring Scout Ipy mzee wa risiti. You are all welcome to enjoy the pod.  Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey...
Published 05/14/22