Meet the FPL Manager - Edgar Ngemera | Top 10k | FPL Tanzania
Listen now
Description
Kwenye episode hii Godfrey na Eric wapo pamoja na FPL manager Edgar Ngemera. Manager Edgar ana record nzuri sana ya kuwahi kumaliza ndani ya top 10k, mbali na hilo amekua manager mwenye consistency na style amazing ya kucheza FPL. Ungana nasi katika mahojiano haya mafupi kupata kumsikia akielezea approach yake iliyompatia mafanikio toka aanze kushiriki Fantasy Premier League. FPL Manager profile: Team name: edi Squad Top Rank: 9k About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kumanage FPL teams). New episode ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano! Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania Follow our accounts on: https://twitter.com/fpltanzania https://twitter.com/mkali_1 https://twitter.com/ericbaisi Code ya “FPL TANZANIA” mini league ni alsp78 --- Send in a voice message: https://anchor.fm/fpltanzania/message
More Episodes
Last gameweek of 2021/22 season preview. Enjoy the pod FPL managers. Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi...
Published 05/21/22
Published 05/21/22
Another DGW pod featuring Scout Ipy mzee wa risiti. You are all welcome to enjoy the pod.  Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey...
Published 05/14/22