FPL Season Review so far | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22
Listen now
Description
Katika episode hii Eric na Mkali wanareflect msimu unavoenda mpaka sasa. Jinsi timu zao zilivyoperform, majibu ya maswali kuhusu strategies zao going forward na pia interesting discussion jinsi gani FPLTZ Podcast na FPL Tanzania kwa ujumla imeathiri jinsi wanavoutuzama mchezo wa FPL. About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kumanage FPL teams). New episode ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano! Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania Follow our accounts on: https://twitter.com/fpltanzania https://twitter.com/mkali_1 https://twitter.com/ericbaisi Code ya “FPL TANZANIA” mini league ni alsp78 --- Send in a voice message: https://anchor.fm/fpltanzania/message
More Episodes
Last gameweek of 2021/22 season preview. Enjoy the pod FPL managers. Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi...
Published 05/21/22
Published 05/21/22
Another DGW pod featuring Scout Ipy mzee wa risiti. You are all welcome to enjoy the pod.  Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey...
Published 05/14/22